Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Hapa baada ya kupata chai mgonjwa huyu wa akili akipayuka yaliyokitoka katika kinywa chake.
Mgonjwa huyu wa akili nilimkuta akipata chai mgahawani kama pichani inavyoonekana.
Hapa baada ya kumaliza chai akisokota bangi tayari kuipuliza, kabla hajaanza kuisokota alikuwa akipayuka ile mbaya bila kujua ni nani saha anayempayukia toka kinywani mwake. Huku akisisitiza siogopi mtu nalipuliza hapa hapa nje. Utajiuliza hizo bangi anazipatia wapi na nani anampatia mimi na wewe sote hatuna majibu.