Wednesday, October 19, 2011

38% ya madaktari marekani

Asilimia 38 ya madaktari waliipo nchini marekani ni wahindi.
Duniani kila sekunde ipitayo watoto watatu huzaliwa.

Maziwa,ya kiboko

Je wajua kuwa mnyama kiboko maziwa yake yana rangi ya pink? Jibu ni ndio.

Wednesday, June 22, 2011

Iringa kwa juu



Nyumba

Mke na zawadi

Mke alimuuliza mumewe,"Mbona siku hizi huninunulii zawadi kama pale kabla hujanioa?" Mume akamjibu "umeniona mimi kichaa? Tangu lini mtu akampa chakula samaki baada ya kumvua!"

Tembelea www.chekazone.blogspot.com