Binafsi huwa nikubahatika kufahamiana na fundi mchonga vitanda huwa namuambiaga ukweli kuwa, mafundi karibu woote staili zao za kuchonga na kudizaini zinafanana. Labda ndio maana kwa namna moja ama nyingine wateja huwa hawavutiwi na ile kukiona tu kwa mara ya kwanza.
Pita mfano kwenye internet uone jinsi watu wanavyotengeneza vitanda mi naviita "Unique" then utaniambia mawazo yako.