Thursday, January 7, 2010
Mvua zimeshamiri Mkoani Mtwara.
Baada ya ukame uliotawala kipindi kirefu mkoani Mtwara hatimae sasa neema ya mvua imejiri. Inahofiwa kuwa isejeleta maafa kama ilivyosababisha mikoa mingine. Habari zaidi zitakujia kwenye picha.
Subscribe to:
Posts (Atom)