Sunday, February 1, 2009

Sekta ya utalii...


Great Man


Maigizo jukwaani

Yote ni kufikisha ujumbe kwa jamii kwa namna moja ama nyingine.

Vodashop Mtwara!!

Karibu Vodashop Mtwara.

Shamba la minazi!!


Bagamoyo!




Sokoni mashalah!

Kaka ame-display picha zake sokoni za yeye na wateja wake. Ni unique style.

African Art...


Nakshi nzuri kwa sebule yako.
Waswahili wanasema kizuri gharama.

Sio kibaba... ni loki ya bomba la maji.

Kwa wale wauza au wanunua maji ya bomba hili si geni kabisa kwao. Kwa mtazamo wa kwanza unaweza sema ni kibaba kitumikacho kuhifadhia sarafu za pesa.

Dawa!!

Moja ya dawa ta aina yake ambayo kabeji zimelowekwa kwa ajili ya kituo kimoja kinachohudumia watu wanaoishi na VVU.

Greda bar...

Nalo limeenda kupata supu na mtori.

Umeiona hii?