Saturday, February 14, 2009

Mchakato wa usafiri bado upo!

Ukitaka usioge vumbi wakati wa safari yako nzima hata ma-isuzu journey yapo pia.

Bajaj juu ya jiwe!


Dei waka vile?


Tairi kama hii barabarani inafuata nini?

Kifupi ni kwamba hapo mhusika anakuwa hamkomoi traffic police ila ni kwa ajili ya usalama wake na chombo cha mmiliki mwenyewe.

Jiulize umeona nini kwenye picha!?


Namna ya kujiajiri na vipaji!

Kwa uzoefu wangu watalii mara nyingi wana bei zao na wazawa hutajiwa bei zao.

Shamba la Minazi hilooo!

Cha kufurahisha wenyewe huwa wanajua mipaka ya mashamba yao pamoja na wingi wote huo.

HAPPY VALENTINE'S DAY