Tuesday, May 19, 2009

Umoja Bridge mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.




Upande niliopo ni wa Tanzania na upande wa pili ni Msumbiji.
Daraja lipo Mkoani Mtwara wilaya ya Nanyumbu sehemu ijulikanayo kwa jina Mtambaswala.

Kichanda!

Click here for more information...!

Libeneke la Under Five catch-up Campaign Southern Zone - Tanzania.

Mwanamama akionyeshwa jinsi ya kuweka sahihi kumuwakilisha mwanae.
Mkakati wa ugawaji ulipokuwa katika hatua za awali.
Watoa vyandarua wakikagua majina ya watoto walioandikishwa.
Wananchi waliojitokeza kuwekewa dawa katika vyandarua vyao.