Waziri wa afya na Ustawi wa jamii Mh. David Mwakyusa akitoa hutuba siku ya malaria iliyoadhimishwa tarehe 25 April 2009 Mkoani Mtwara.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda alikuwa mgeni rasmi nae alitoa hutuba yake siku hiyo ya maadhimisho ya malaria duniani.
(picha kutoka maktaba).