Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Watanzania utalii wa ndani ni asilimia chache sana, wanyama kama hawa kuwaona kwenye picha tu haitoshi. Uhalisia wa kitu kukiona inaleta raha ya aina yake na kujifunza mengi kuliko kusimuliwa. Tujifunze kupenda kutalii nchini mwetu wenyewe, nchi yetu lakini hatuijui...?