Sunday, February 22, 2009

Waijua bandari ya Kilwa Kivinje!

Waswahili wanasema tembea uone!
Kilwa Kivinje mkoani Lindi.

Ukataji miti lipatikane shamba!


Ili kupata shamba mwenye eneo hilo pichani ilimbidi akate kwanza miti ili apate ardhi ya kupanda mazoa yake anayotaraji.

Sauti za Busara zilivyofana!

Shughuli jukwaani (Photo by Blandy)
Palikuwa hapatoshi (Photo by Blandy)
Baada ya shughuli (Photo by Blandy)

Pamoja na ndugu na marafiki tuki-enjoy

Nikiwa na Binamu yangu.
Ndugu na marafiki pia tuki-enjoy.

Kiti cha kamba!

Wengi tumezoea kuona vitanda vya kamba almaarufu "telemka tukaze",
sasa leo nimekuletea kiti chake kwa material yaleyale ya teremka tukaze.

Maji ya mto!

Mto huu ni mpaka kati ya wilaya ya Kilombero na Mahenge mkoani Morogoro.

Neema ya maji bush...

Kwa baadhi ya maeneo vijijini wana neema ya maji safi na salama kama mjini.

Ofisi ya Kata kijijini Mkululu (Masasi-Mtwara)


Ze Taswira


Mashamba ya Chumvi!