Thursday, May 21, 2009

Snake @ Field.

Ukiwa field haya ni mambo ya kawaida lakini tahadhari izingatiwe.

The ujumbe!


Chapati za kutosa kama maandazi!


Hii niliibamba wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara, chapati hizi zinapikwa kama uonavyo maandazi kwenye mafuta. Wanasema tembea uone, mimi nimeshaona.

Wanafunzi wa sekondari wakiwa na ndoo za maji kuelekea eneo la shule.