Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Ngome kongwe Zanzibar kwa juu. Maonyesho kadha wa kadha hufanyika katika ukumbi huu mkongwe yakiwemo ya Sauti za Busara, Zanzibar Internationa Film Festival, matamasha mbali mbali ya muziki nk.
Watu wanaishi mazingira kama hayo, si kwa mapenzi yao ila ni kutokana na hali ngumu ya maisha iliyowazunguka. Picha hii imechukuliwa katika moja ya slums (kwa kizungu) mjini Nairobi.