Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Pichani ni bwawa lililopo kilomita kadhaa toka katikati ya wilaya ya Tandahimba (Mtwara), lipo njia iendayo kijiji kimoja kinaitwa Lyenje ambapo linapo jaa hutumiwa na wananchi walio karibu na eneo hilo hasa wakati wa shida ya maji. kwa sasa limekauka.