Tuesday, May 10, 2011

Matikiti maji ambayo ndani meupe.

Platnum Lodge - Mafinga, Iringa


Barabara inapokuwa shida kwa wasafiri...

Babu mmoja akiyuonyesha sample ya miti aliyonayo kwake anayoiuza kijiji cha Nduli, Iringa.

Ukifanikiwa kufika Arusha nenda Khans BBQ utakuta mahanjumati ya kutosha kitu roho inapenda.

Ilembula Hospitali (Ipo chini ya Lutheran), ipo Kijiji cha Ilembula mkoa mpya wa Njombe.

Upukuchuaji Karanga, Kijiji cha Kijombe - Njombe




Siku ya klinik zahanati ya kijiji cha Kijombe, Njombe

Sumry yakutana na Isuzu Makambako.




Zahanati ya Kijiji cha Uhambule - Njombe


Hapa sawa na kusema miguu juu... Njia ya kwenda Mbeya baada ya Makambako.


Sote tujifunze jambo kutokana na picha hizi...