Usisaha sala.
Wednesday, February 11, 2009
Maji ya kunywa kwenye chupa!
Hapo ndipo utapoamini kuwa binadamu tunatofautiana kulingana na mazingira tunayoishi.
Samahani maji hayaonekani kwa ukaribu lakini picha umeipata.
Maana ya neno 'Nyata" unapolizungumza Mtwara!
Nyata ama Kunyata kwa mkoani Mtwara linamaanisha kitu kisichopendeza machoni Mfano, mbwa yule amenyata usoni. Kwa Dar na baadhi ya sehemu Kunyata inamaanisha kunyemelea kwa utaratiibu kitu fulani. Habari ndio hiyo.
Taharifa!
Kwa sababu ambazo bado zipo nje ya uwezo wangu, kamera ya patastories bado inamatatizo ya kiufundi. Ila haitakuwa sababu ya kuendelea kukosa vionjo vya blog hii toka vijijini na mijini mambo yanaendelea kidogokidogo. Nikutakie siku njema. Wenu mdau John.
Subscribe to:
Posts (Atom)