Monday, February 2, 2009

Gari litumialo nguvu ya mionzi ya jua...

Ni teknolojia juu ya teknolojia, Solar power then maisha yanaenda tu.

Bobby @ Studio 53


Kwa wale wapenzi wa Channel 5 ya East Africa (EATv) watakuwa wanamfahamu, kwa sasa yupo ndani kipindi kinaitwa Studio 53 (Ndani ya DStv channels). I keep on wishing him best of luck.

Daraja la Mkapa!


Daraja linalopita juu ya mto Ruvuma kwenda mikoa ya kusini Lindi na Mtwara (Tanzania).

Vocation kwa Kibaki...

Sijui nilikuwa nataka kudondoka ama pozi tu...?

Makazi ya watu!

Mimi binafsi naamini kuwa watu hatufanani.

Sound...

Unachukiliaje gari kuwa na sound kama hii...? comment!

Ujezi barabara...

Hii yote ni kuilinda lami iliyomwagwa isimong'onyoke kutokana na maji ya mvua.
Huu mi ndio nauita ukandarasi, ila wengine hujenga bila kuzingatia haya ili tenda ipatikane tena baada ya kipindi kifupi kupita.

Vinyago sokoni.

Imezoeleka sana kuwa wazungu ndio wateja/wanunuaji wakubwa wa vitu hivi, sisi waafrica hasa watanzania wenzangu tatizo ni nini? Hu ni uasilia wetu na culture yetu ila tunaupuuza na kutowaunga mkono wenzetu.

Sarafu enzi ya mkoloni.

Sarafu za wakati huo wengi wetu hatujazaliwa.