Monday, July 12, 2010

Rufaa

Nesi mmoja alipompima mgonjwa mmoja kijiji fulani akagundua kuwa 'option' iliopo ni kumuandikia rufaa mgonjwa yule apelekwe hospitali kubwa.

Ndugu wa mgkajibu 'namuangalia huyu mtoto kwenye picha kama umekumbuka mvalisha chupi leo, jana ulisahau.'
www.chekazone.blogspot.com kwa mengi zaidi.

Hii kali...

Hii kali....
Jamaa mmoja alimuona mwanaume akisali kwa kuguswa sana juu ya kaburi.
Akaenda na kumkuta akisali yule jamaa 'Kwanini umekufa? Kwanini umeamua kufa?

Jamaa akamuuliza, ''kaka samahani... Nimeguswa sana na unavyo... Je ni nani aliekufa? Mtoto? Mke??

Jamaa makaburini akajibu ''ni mume wa kwanzahukuru sana yule kuku alikuwa mtamu sana.''

Baridi la Njombe hufanya watu kuvaa gloves.

Kombe la Dunia na vimbwanga vyake...

Watoto wakicheza futball na baridi ya Njombe, Iringa


Betri zikiwa zinachajiwa kwa jua...