Wednesday, February 25, 2009

Dada akisaga Mtama kwa mkono na jiwe!


Mawe ayatumiayo ni yamechongwa kwa mfumo wa duara, halafu kuna mjiti katikati ya tundu la jiwe unafanya lisidondoke/kutoka nje ya mzunguko wakati akilizungusha kusaga mtama huo.

Mweleka baada ya kuseleleka.