Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Gari hili nalo limeniacha hoi, kiuno chake kinageuka. Ukiangalia vizuri utaona taa zinaangalia pembeni na si uelekeo wa tairi. Yote hayo ni manjonjo tu.