Tuesday, February 17, 2009

Mbingu imekasirika!

Nimeipenda hii picha me binafsi, ni kama mvua yataka kuja...


Ndani ya Same hiyo!!

Kama tupo Uarabuni, picha kwa hisani ya Francis Ndenje.


Ukisikia barabara haipitiki basi ndio hivi...



Kendwa Beach ndani ya Zanzibar


Cheka na elimika pia.


Ujenzi wa Daraja!


Bidhaa sokoni ikijinadi


Mimi na Kifaru pichani


Hili ndio Jahazi wakati likiundwa


Mtoto akibeba maji.


Mtoto akiuza asali