Thursday, February 12, 2009

Ujanja wangu wote hii dawa naiogopa!


Ze Mbuyu tree!


Soko la samaki Mtwara!


Shule ya msingi!




Duh!!!


Taifa la Baade hilo!


Msikiti wa Lupaso (Mtwara) kijijini kwa Rais Mstaafu awamu ya 3


Wakiwa kazini kubangua/kumenya karanga!

Na watoto pia wamo.

Unayajua makopa wewe?

Jamaa kabeba mihogo iliyomenywa na kuanikwa juani tayari kwa kwenda kusagwa unga wa muhogo. Ndio almaarufu kwa jina la makopa kwa Mtwara.

Ujumbe kwa wote!


Inamaanisha nini?

Mimi binafsi huwa sielewi jibu ni nini?

Bwawa la mvua likiwa limejaa magugu maji!


Kazi yao kujaza tope zinase ili...!!?







Ukigusa tu cheza, sharti la kwanza hilo!