Saturday, August 8, 2009

Dunia ya leo ipo mkononi tu.



Wanasema unanunua kitu kinachothamini pesa yako. Teknolojia inavutia na kupendeza saana.

Friday, August 7, 2009

Kaburi la Mapadre waliouwawa wawili

Kaburi hili lipo njiani ukiwa unatoka wilaya ya Liwale kuelekea Nachingwea.
Inasemekana mapadre hawa waliuwawa na mtu mmoja ambae inasemekana alikimbia na fimbo yenye thamani kubwa sana iliyokawa na madini.
Ni zamani sana sio picha na tukio la karibuni.