Monday, December 28, 2009

Arusha!


At Snake park - Arusha

Mdau sipo nyuma na mie kwenye utalii wa ndani!


See how people walivyo creative!




Utantambua mie na vazi la Kimasai...


Miti-shamba umaasaini.



Rika mbali mbali za kimaasai - II





Rika mbali mbali za kimaasai!





Wamasai wanapokuwa porini kuchoma nyama!



Mifungo jinsi inavyofungiwa umasaini, miba pia hutumiwa kuzungushia kama uzio.


Mdau nikiwa Snake park - Arusha

Umasaini Mwanamke ndio anaejenga nyumba!




Kutahiriwa wasichana kwa wavulana Umasaini!




Airport - Arusha

Ngamia at Umasaini!

Tembo Club - Arusha

Umasaini - Arusha.