Tuesday, February 3, 2009

Mtwara inavyoonekana angani...



Kutoka bush...

Pichani baadhi ya wananchi wakishuka toka kwenye lori kuja mjini kwa mahitaji mbalimbali.

VCT center somewhere in Nairobi.


Parking!



Utalii wa ndani



Watanzania utalii wa ndani ni asilimia chache sana, wanyama kama hawa kuwaona kwenye picha tu haitoshi. Uhalisia wa kitu kukiona inaleta raha ya aina yake na kujifunza mengi kuliko kusimuliwa. Tujifunze kupenda kutalii nchini mwetu wenyewe, nchi yetu lakini hatuijui...?

Gwiji Jidee

Kutawala stage ni moja ya sifa ya mwanamuziki bora.
Jay D namkubali kwa hilo.

Chumbe Island - Tanzania

Tanzania tuna mazingira mazuri ila basi tu utunzaji...

Monday, February 2, 2009

Gari litumialo nguvu ya mionzi ya jua...

Ni teknolojia juu ya teknolojia, Solar power then maisha yanaenda tu.

Bobby @ Studio 53


Kwa wale wapenzi wa Channel 5 ya East Africa (EATv) watakuwa wanamfahamu, kwa sasa yupo ndani kipindi kinaitwa Studio 53 (Ndani ya DStv channels). I keep on wishing him best of luck.

Daraja la Mkapa!


Daraja linalopita juu ya mto Ruvuma kwenda mikoa ya kusini Lindi na Mtwara (Tanzania).

Vocation kwa Kibaki...

Sijui nilikuwa nataka kudondoka ama pozi tu...?

Makazi ya watu!

Mimi binafsi naamini kuwa watu hatufanani.

Sound...

Unachukiliaje gari kuwa na sound kama hii...? comment!