Wednesday, February 11, 2009

Taharifa!

Kwa sababu ambazo bado zipo nje ya uwezo wangu, kamera ya patastories bado inamatatizo ya kiufundi. Ila haitakuwa sababu ya kuendelea kukosa vionjo vya blog hii toka vijijini na mijini mambo yanaendelea kidogokidogo. Nikutakie siku njema. Wenu mdau John.

Miradi endelevu ya maji vijijini.

Zamani matenki yalikuwa aina hii juu pichani

Sasa mambo murua kabisa.


Maskini shule...!

Jengo lenyewe ni hilo hilo moja, then hali kama hiyo inatokea.
Kwa kifupi jengo hili halina siku nyingi tangu likamilike.

Nguzo ya umeme inapochoka huwa hivi











Mambo kubofya bofya tu garini.

Ongea na macho yako tu hapo pichani.

Over size au ndio style yake?


Eti kuna nini...!!?


Taswira!


Hapo ni imeanikwa haijatupwa.

Habari ndio hiyo mimi binafsi niling'aa macho.

Raha ya bush hapa tu...

Pande la kidari cha kuku kwa 2,000Tsh tu.
Tena wa kienyeji.

Dari!


Biashara matangazo bwana...!!


Hii ni akili au...?

Eti mtu anatupia nywele kwenye sinki.

Matege!


Barabara zetu hizo!