Monday, April 20, 2009

Dsm by evening!

Mazingira ya Tanzania yetu.





Biashara matangazo!!


Picha hizi nimezikuta pwani ya Kendwa beach Zanzibar kunako hoteli nyingi za kitalii Kisiwani humo.

Ujumbe maridhawa...

Water Front - Dar es Salaam.

Ajira na kujiajiri!

Sarafu za Mkoloni!


Maisha ya enzi za utumwa na historia yake fupi pichani.

Taswira!

Duniani ndio huku!!


Mambo ya beach!!

Mimi binafsi ilishindwa kujua kazi ya hiki kitu pichani... wewe je?

Mifugo vijijini!


Tumaini University A -Town


Mambo swaaafi kabisa.

Taswira ya nchi ya Tanzania!!

Mlima jiwe wenye mvuto wa aina yake.

Dar inapendeza kipindi cha jua tu...!!


Dar yetu kipindi cha mvua inavyokuwa ovyooo!
No mifereji, kama ipo imeziba basi tabu tupu.

Ukame @ Kituru





Marehemu Ngómbe at Kituru - Tz.