Monday, May 4, 2009

Mother's Day around the corner.

What did you prepare?
Especial for this year 2009?
I believe you'll do great this time...
Wish you luck

Sunday, May 3, 2009

Dodoma!



Somewhere in Dodoma.

Somewhere in Dodoma Region

Ngozi ya ng'ombe.
Ukame wa malisho.

Picha na mazingira halisi ya Dodoma na ufugaji uliozungukwa na ukame.

...mpaka Dodoma (Tanzania)


Dodoma nyama ya ng'ombe inapatikana vizuri sana na bei ni njema.
Wana-kaka wakiwa na nyama ya ng'ombe kwenye baiskeli.

Friday, May 1, 2009

Ngoma ngoma...

Kadamnasi siku ya malaria duniani lilikuwa hivi!



Wakuu siku ya maadhimisho ya Malaria mkoani Mtwara!

Waziri wa afya na Ustawi wa jamii Mh. David Mwakyusa akitoa hutuba siku ya malaria iliyoadhimishwa tarehe 25 April 2009 Mkoani Mtwara.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda alikuwa mgeni rasmi nae alitoa hutuba yake siku hiyo ya maadhimisho ya malaria duniani.
(picha kutoka maktaba).