Monday, September 7, 2009

Uboreshaji Daftari la wapiga kura vijijini!


Uboreshaji wa daftari la wapigakura, technolojia ikiwezesha zoezi kwa kutumia nishati ya jua.

Umeiona Heater hiyo ya kienyeji?


Utaalamu na ubunifu upo wa aina mbalimbali, picha hii nimeipiga nikiwa Mafinga mkoani Iringa kunako baribi kweli kweli.

Saturday, August 8, 2009

Dunia ya leo ipo mkononi tu.



Wanasema unanunua kitu kinachothamini pesa yako. Teknolojia inavutia na kupendeza saana.

Friday, August 7, 2009

Kaburi la Mapadre waliouwawa wawili

Kaburi hili lipo njiani ukiwa unatoka wilaya ya Liwale kuelekea Nachingwea.
Inasemekana mapadre hawa waliuwawa na mtu mmoja ambae inasemekana alikimbia na fimbo yenye thamani kubwa sana iliyokawa na madini.
Ni zamani sana sio picha na tukio la karibuni.

Monday, July 20, 2009

Matawi ya juu...!!

Aisee kumbe hata trekta ukilipamba linakubali... nnimeipenda hii picha.