Friday, June 11, 2010

Hii ingependeza kwa nyumba za wageni zote...

Kivuko cha mtumbwi @ Mto Luhuu wilayani Ludewa, Iringa mpakani mwa Songea na Iringa.


Maneno hayooo...

Futball ground...

Mto Luhuu mkoani Iringa, mpakani mwa Songea na Iringa (Ludewa).


Kuelekea Lake Natron - Longido, Arusha.

Menu hiyo @Mlangali - Ludewa, Iringa.


Y

Wanafunzi wakitoka kuokota kuni, Manda - Ludewa, Iringa.


Maji ya moto, hita ya kienyeji kwa solar power zilizopo usawa wa ubao mweusi pichani.

Mwanamama akichanganya zege nyumbani kwake - Ludewa, Iringa.