Friday, June 11, 2010

Namanga border of Kenya and Tanzania

Harusi na biashara ya Mapambo/Upambaji - Iringa.

Gereji ya kuziba pancha nilikuta pia wakipulizia milango ya nyumba rangi kwa kutumia upepo wa presha wa matairi ya gari. Ludewa, Iringa.


Tunapokumbana na pancha wakati wa field...




Sembe halisi...

Vituko vya duniani...

Hii kali...

Lunch...




Kibao nje ya kanisa kimeandikwa "zima simu"


Malori yanapochemka kilimani...

Viwalo Mitumbani - Iringa


Maneno hayo


Iringa Municipal



Kuelekea Ziwa Nyasa - Rangi ya bluu bahari mbele ndio ziwa Nyasa.