Monday, May 9, 2011

Umewahi iona hii?

Mashamba ya Chai


Njiani kwenda Ruaha National Park



Fish, Igowole village - Iringa

Niliifuma Makambako, Iringa

Ofisi ya Wilaya - Kilolo, Iringa

Wanafunzi vijijini na jembe mkononi wakitoka shule

Vijijini ndio mwendo huu

Jamaa akilima huku kavaa suti

Tembea ujionee mambo...

Gesti hausi, Milangoni na vitanda muonekano wake - Tungamalenga village, Iringa



Duka la Used-Spea

Kwa Babu Loliondo

Enzi ziiilee za Ukuti ukuti

Ajali hii niliikuta Arusha njia kwenda Namanga, cabin ya dereva imezamia kwenye ukingo.