Monday, May 9, 2011

Tembea ujionee mambo...

Gesti hausi, Milangoni na vitanda muonekano wake - Tungamalenga village, Iringa



Duka la Used-Spea

Kwa Babu Loliondo

Enzi ziiilee za Ukuti ukuti

Ajali hii niliikuta Arusha njia kwenda Namanga, cabin ya dereva imezamia kwenye ukingo.


Dodoma

Hii kitu ni balaa

Na hii hatari ingine

Daraja baada ya kulivuka vijijini Iringa.

Mto wa kulalia safarini

Hii ni hatari...

Ajali ya 5star iligusa wengi sana

Tuesday, January 18, 2011

Utawala wa mwanamke

Siku moja huko peponi Malaika aliwambia wanaume "haya wale woote waliotawaliwa kwa namna moja ama nyingine na mwanamke wakae mastari mmoja, na wasio mstari wao"
Basi mstari wa waliotawaliwa nk nk wakawa weeengi mno, na mstari wa pili jamaa mmoja tu.

Alipoulizwa "wewe kulikoni mbona umetokea peke yako?" Akajibu.
Hata mie najishangaa ni mke wangu kaniambia nisimame upande huu.