Monday, May 9, 2011

Vijijini ndio mwendo huu

Jamaa akilima huku kavaa suti

Tembea ujionee mambo...

Gesti hausi, Milangoni na vitanda muonekano wake - Tungamalenga village, Iringa



Duka la Used-Spea

Kwa Babu Loliondo

Enzi ziiilee za Ukuti ukuti

Ajali hii niliikuta Arusha njia kwenda Namanga, cabin ya dereva imezamia kwenye ukingo.


Dodoma

Hii kitu ni balaa

Na hii hatari ingine

Daraja baada ya kulivuka vijijini Iringa.

Mto wa kulalia safarini

Hii ni hatari...

Ajali ya 5star iligusa wengi sana