Friday, January 23, 2009

Usafiri Vijijini

Hali hii kwa vijijini ni kitu cha kawaida, usafiri uliozoeleka ni landrover, malori ama kenta ndio yamejaa.

Biashara Matangazo

Two in one pichani.

Korosho Mtwara



Baadhi ya Malori yakiwa tayari tayari kusheheni korosho katika moja ya maghala yaliopo eneo liitwalo Mtama (Lindi)