Friday, January 23, 2009

Rift Valley

Hili ndio Bonde la Ufa linavyoonekana kwa juu.

Kanisa Katoliki Mtwara


Samaki Choma


Mkwawa!

Huyu ndiye Mkwawa pichani.

Momonyoko!

Ni moja ya maeneo huko mkoani Iringa.

Mbao kiwandani




Moja ya kiwanda mkoani Iringa.

Ujumbe

Meseji imefika.

Teknolojia


Pichani ni mashine ya kubangulia karanga tayari kwa kuzipeleka sokoni.

Vocation and tour!!

Ndani ya beach ya maraha Msimbati (Mtwara).

Bunju


Samaki huyu anajulikana kwa jina la Bunju, amejaa miba mwili mzima.

Kuku na lift


Radio


Radio hii inahitaji upige handling ndio ianze kuzungumza, hii imetulia kweli kweli.

Mbwembwe!

Mbwembwe zinapochukua mkondo wake.

David Livingstone

Huyu ndio David Livingstone.

Biashara kijijini

Wenye uwezo kijijini hawako nyuma kuinua uchumi kwa namna moja ama nyingine.