Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
John kwanza hongera kwa kufungua blog.....hope itabamba sana tu! Hiyo beach hiyo itabidi niifungie safari maana imeniburudisha kinoma...niko job hapa yaani kuicheki nimejiona kama nishafika...stress za deadline kama zikapungua hivi...vusha bovu!...wako mdau wa YDP!

ReplyDelete