Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Sunday, February 22, 2009
Kiti cha kamba!
Wengi tumezoea kuona vitanda vya kamba almaarufu "telemka tukaze", sasa leo nimekuletea kiti chake kwa material yaleyale ya teremka tukaze.
No comments:
Post a Comment
Be good.