Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Friday, February 20, 2009
Lori lililala hapo usiku mmoja!
Hapo ndipo liliponasa kabla ya shughuli ya kulinasua kufanikishwa.
Vijana wakirudisha mzigo wa mbao uliobidi kupakuliwa wote ili lori litoke liliponasa.
Waswahili wanasema ilikuwa "deal" kwa vijana kupata chochote kitu.
No comments:
Post a Comment
Be good.