Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Friday, February 27, 2009
Mambo ya chips na kuku!
Huwezi amini sehemu hii ndio inatoa chips standard kwa wale tuliozoea chips vumbi.
Ukiachilia mbali chips za mahotelini, kwa wakazi wa Mtwara mjini wanapafahamu hapa.
Duuu hizo chipsi vumbi zimenitamanisha sana
ReplyDeleteaisee natamani kama nizitoe hapo nizile
Mdau
Melbourne