Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Sunday, February 8, 2009
Mnazi mmoja ya Lindi
Upende niliopo mimi ni kutokea wilaya ya Masasi (Mtwara).
Ambapo kulia kwangu ni kuelekea Mtwara na kushoto Lindi. Na hiki ni kituo cha mizani mnazi mmoja hapo hapo.
No comments:
Post a Comment
Be good.