Friday, February 13, 2009

Swali la Kizushi!

Nimetafuta maana ya neno "Lift" kwa lugha ya Kiswahili sijapata naomba mwenye kufahamu anidokeze...!!

1 comment:

  1. Mimi nafikiri neno "lift" linatafsiri ya mojo kwa moja kwa kiswahili ila linatumika kumaanisha msaada wa chombo cha usafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine...........

    ReplyDelete

Be good.