Monday, February 23, 2009

Ujenzi wa barabara!


Ujenzi wa barabara inayoelekea wilaya ya Nanyumbu toka wilayani Masasi (Mtwara) ukiwa unakaribia kumalizika awamu ya kwanza. Kusini neema tupu inanukia siku hizi.

No comments:

Post a Comment

Be good.