Thursday, February 12, 2009

Unayajua makopa wewe?

Jamaa kabeba mihogo iliyomenywa na kuanikwa juani tayari kwa kwenda kusagwa unga wa muhogo. Ndio almaarufu kwa jina la makopa kwa Mtwara.

No comments:

Post a Comment

Be good.