Wednesday, March 4, 2009

Huu ni mwanzo wa kuibiwa mabomba nk...

Matangazo kama haya huleta hasara kuubwa kwa baadhi ya maeneo, uharibifu utaongezeka ili watu wajipatie chochote kitu.

No comments:

Post a Comment

Be good.