Wednesday, June 17, 2009

Soma hizi...!!

Ndizi toka Kigoma

Jiwe mpakani mwa Tz n Burundi

Ni la Ishirini kati y yaliyopo, namba zimeandikwa kwa kirumi.

Milima njiani kuelekea Burundi.

Mdau nikiwa mpakani kuelekea Burundi jut for lunch and return to my country
Milima hii ipo upande wa Burundi yenye mandhari nzuri.
Yote uonayo upande wa pili ni Burundi.

Me with Old friend at Kigoma!

Ilikuwa ni siku ya furaha kukutana tena baada ya miaka kadha toka tukiwa maisha ya chuo.
Kweli milima haikutani ila sisi binadamu twakutana.

Sunset at Kigoma region (Lake Tanganyika)


Picha hii nimeipiga nikiwa maeneo Mjini Kigoma eno maarufu kama Bangwe beach.
kiwa Kigoma bila kufika Bangwe beach basi bado hujafika Kigoma mwisho wa reli.