Wednesday, June 17, 2009

Sunset at Kigoma region (Lake Tanganyika)


Picha hii nimeipiga nikiwa maeneo Mjini Kigoma eno maarufu kama Bangwe beach.
kiwa Kigoma bila kufika Bangwe beach basi bado hujafika Kigoma mwisho wa reli.

1 comment:

  1. Ebwana nimezikubali hizi picha, huko Europa unaweza kuziuza kwa bei nzuri sana hapa. hebu niforwadie kwa email yangu basi originals

    ReplyDelete

Be good.