Patastories ni blog yenye kukupatia habari mbalimbali kwa njia ya picha zikiwemo za vijijini na mjini, karibu tujumuike pamoja.
Nitumie email: mnambajohn@gmail.com
Sunday, September 27, 2009
Ujenzi unapokuwa blocked na malori...
Lori la kwanza lilishindwa kupandisha, na la pili pia.
Ilibidi baadhi ya magari kupita upande usio na barabara.
No comments:
Post a Comment
Be good.