Monday, February 16, 2009

Hizi staili sasa zinapokwenda siko...

Eti na hili tuliite gari, mithili ya bajaji.

Gari hili nalo limeniacha hoi, kiuno chake kinageuka.
Ukiangalia vizuri utaona taa zinaangalia pembeni na si uelekeo wa tairi.
Yote hayo ni manjonjo tu.

No comments:

Post a Comment

Be good.