Friday, August 13, 2010

Punda aliangusha mzigo.




Ilibidi tufanye kazi ya ziada kuwasaidia watoto hao waliokuwa milimani peke yao wakisafiri kwenda kijiji jirani na mahindi kwenye magunia, watoto hawa wawili tuliwakuta milimani tukielekea Ilambo na wakati wa kurudi tukawakuta na punda wao mmoja akiwa ameuangusha mzigo.

Saturday, July 17, 2010

Cheka unenepe...

www.chekazone.blogspot.com ni site ya kukufanya ucheke muda wote.
Furahia patastories na chekazone, zote zipo kwa ajili yako.

Monday, July 12, 2010

Rufaa

Nesi mmoja alipompima mgonjwa mmoja kijiji fulani akagundua kuwa 'option' iliopo ni kumuandikia rufaa mgonjwa yule apelekwe hospitali kubwa.

Ndugu wa mgkajibu 'namuangalia huyu mtoto kwenye picha kama umekumbuka mvalisha chupi leo, jana ulisahau.'
www.chekazone.blogspot.com kwa mengi zaidi.

Hii kali...

Hii kali....
Jamaa mmoja alimuona mwanaume akisali kwa kuguswa sana juu ya kaburi.
Akaenda na kumkuta akisali yule jamaa 'Kwanini umekufa? Kwanini umeamua kufa?

Jamaa akamuuliza, ''kaka samahani... Nimeguswa sana na unavyo... Je ni nani aliekufa? Mtoto? Mke??

Jamaa makaburini akajibu ''ni mume wa kwanzahukuru sana yule kuku alikuwa mtamu sana.''

Baridi la Njombe hufanya watu kuvaa gloves.