Wednesday, February 11, 2009

Ujumbe wa leo!!

Usisaha sala.

Wanafunzi...

Kundi hili la wanafunzi wa kike walipelekwa zahanati kwa lengo la kupimwa nanihii...
Hii ndio hali halisi vijijini. Labda mmoja wao alikutwa nayo nanihii...

Ka-vekesheni ketu!

Vekesheni za kwenda kutembea vijijini zina raha yake bwana.
Tembea uone.

Swali la kizushi!!

Mume kwenda sokoni ni Wivu au Bajeti?

City center za vijijini kama hivi!


Maji ya kunywa kwenye chupa!

Alichoshika kwenye chupa mtoto huyo pichani si juice, bali ni maji ya kunywa.
Hapo ndipo utapoamini kuwa binadamu tunatofautiana kulingana na mazingira tunayoishi.
Samahani maji hayaonekani kwa ukaribu lakini picha umeipata.

Maana ya neno 'Nyata" unapolizungumza Mtwara!

Nyata ama Kunyata kwa mkoani Mtwara linamaanisha kitu kisichopendeza machoni Mfano, mbwa yule amenyata usoni. Kwa Dar na baadhi ya sehemu Kunyata inamaanisha kunyemelea kwa utaratiibu kitu fulani. Habari ndio hiyo.